Azam Media Ltd (Azam TV) imeshinda zabuni ya kurusha Ligi ya Tanzania...
Azam wameshinda kwa bei ambayo ni rekodi au wengine husema historia katika zabuni ya kurusha mpira live.
Gharama ni shilingi Bilioni 23.
Azam TV wamesaini mkataba wa miaka 5 na Tanzania Football Federation (TFF) wa kurusha vipindi vya michezo hususan mpira.


0 Yorumlar